Makamu
Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana
kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya
Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Makamu
Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu(kushoto) na Mjumbe Kamati
Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha
jana.
Mashabiki
wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni
ya Bia mkoani Arusha wakivuta kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho
Mashabiki
wa timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia
mkoani Arusha wakishangilia baada ya kushinda mashabiki wa Simba
katika mchezo wa kuvuta Kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani
Mtani Jembe mkoa wa Arusha iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda
hicho.
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Bia,Arusha ambao ni mashabiki wa timu za Simba na Yanga
wakicheza mchezo wa Foosball jana kwenye uzinduzi wa kampeni ya Nani
Mtani Jembe ilifanyika kwenye kiwanda hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...