Mbunge wa Kilolo Profesa Msola akieleza alivyosimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika jimbo hilo kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule kwa tiketi ya Chadema, Parcras Mkakatu akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho
Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule (Chadema), Parcras Mkakatu akieleza utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kijiji cha Utengule kwa Kinana wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho
Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule (Chadema), Parcras Mkakatu akiendelea kueleza kwa Kinana shughuli mbalimbali za maendeleo wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho
Wazee wa Kihehe wakimpamba Kinana kwa mavazi rasmi ya keshima ya kabila hilo katika kijiji cha Utengule, baada ya kuhutubia wananchi kwenyeviwanja vya zahanati ya Kijiji hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...