MZEE ASHERI MWASANDUBE
Umetimiza miaka miwili tangu ulipoitwa na Bwana tarehe 11 Oktoba, 2013. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa nguvu ya kuvumilia hadi sasa. Tunakumbuka hekima na busara zako ambapo pengo hilo hakuna wa kuliziba kwani ulikuwa kiongozi, nuru na furaha katika familia yetu.
Unakumbukwa daima na Mke wako mpendwa Elesia Katapa, watoto wako Hilda, Salome, Stephen, Sekela, Abrahamu, Wakwe zako wajukuu zako pamoja na ndugu jamaa na marafiki.
Tunaamini siku moja tutaungana nawe katika uzima wa milele.
Pumzika kwa amani baba yetu mpendwa.
2 Timotheo 4:7-8
Mzee Mwasandube Tutakukumbuka Daima,
ReplyDeleteUlikua rafiki wa Karibu wa Baba yangu.