Baadhi ya wahitimu wa National Board of Accountants and Auditors (NBAA) wakiwa katika
maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha
NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata
Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji
wa hesabu (ATEC.)
Mkurugenzi wa
Bodi ya NBAA Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kabla yakumkaribisha mgeni rasmi
wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar
es Salaam .jpg)
.jpg)
Mgeni rasmi
ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda
Mhe. Janeth Mbene akiongea na wahitimu (hawapo pichani) wakati wa
maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wahitimu wa
NBAA wakifuatili kwa makini matukio yaliyokua yakiendelea wakati wa maafali ya 36
yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo
jumla ya wahitimu 855 walipata CPA na wahitimu 82 walipata cheti cha utunzaji
wa hesabu.
Baadhi ya wahitimu wa
NBAA wakifuatili kwa makini matukio yaliyokua yakiendelea wakati wa maafali ya 36
yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo
jumla ya wahitimu 855 walipata CPA na wahitimu 82 walipata cheti cha utunzaji
wa hesabu.
Picha na Genofeva Matemu
- Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...