Madrasa Rahaman na Nurysery School iliyopo Segerea mwisho jiji Dar-Es-Salaam,inawatakia waumini wote Eid Mubarak.Mnakaribishwa sana Madrasa Rahaman na Nurysery School kituo kinachotoa Elimu yenye maadili mema kwa watoto. Eid Mubarak. usikose kujumuika nasi kwa simu +255(0) 757 608303 au 0712840960
Home
Unlabelled
MADRASA RAHMAN YA SEGEREA JIJINI DAR INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...