Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Green City Tabora mjitahidi sana kila nishati itokane na kijani hata kama itatokea Mkaa unaendelea kuzalishwa na kutumika kama nishati angalau iwe ni Pungufu zaidi kutoka TANI 10 ZA MITI NA MAGOGO KWA TANI MOJA YA MKAA !!!

    Isije ikafikia hata urithi wetu wa miti maarufu ya Ganja la (Mboka) a.k.a Tabora ''KIJITI CHA MBOKA-MBOKA ONE'' nayo kupitia uzalishaji usio endelevu wa Nishati ya Mkaa ikatoweka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...