Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha
Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya
Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9,
2014 jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile,
Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia
Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika
kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana usiku Oktoba 9, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Redio
One, Joyce Mhavile, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya
kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana usiku Oktoba 9,
2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Meneja Masoko Msaidizi wa Kampuni ya
TOYOTA Tanzania, Eliavera Timoth, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa
ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana usiku Oktoba 9,
2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wakati wa hafla
hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...