kamanda wa polisi mkoa wa
Arusha Lineratus
Sabas aakionyesho moja ya silaha ambazo
zimesalimishwa na wananchi
Jeshi la polisi mkoani
Arusha limefanikiwa kupata silaha mbili aina ya SMG
ambazo zilisalimishwa na wananchi katika mbili
tofauti huko wilayani ngorongoro.
Akiongea na waandishi wa
habari kamanda wa polisi mkoani
Arusha Lineratus Sabas alisema kuwa
Silaha hizo zilisalimishwa na wananchi katika siku tofa uti tofauti ambapo
alisema kuwa silaha ya kwanza ilisalimishwa September 19 silaha aina ya SMG yenye
NO.563651071iliopatikana katika eneo la harash ikiwa na
risasi mbili ndani ya magazine
.
Alibainisha kuwa silaha
ingine ilisalimishwa September 26
ikiwa ni aina ya SMG yenye namba ya usajili
514142 hii ilipatika katika
eneo ilo ilo la la harash
wilayani Ngorongoro
Aliwapongeza wanachi kwa
kutii sheria ya kusalimisha silaha
hiiuku akitoa wito kwa wananachi wote popote pale walipo kusalimisha silaha
ambazo wanahisi wanazitumia kinyume cha sheria.
Aidha alisema kuwa kama
kuna mwananchi yeyote anaisi kuwa
anamali nyingi na anaitaji kumiliki silaha basi afuate sheria
zinazotakiwa .
habari picha kwa hisani ya
woindeshizza blog
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...