Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Kaskazini Bwana Kim Yong Nam. Mama Salma alikutana na kiongozi huyo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ulioko Nairobi tarehe 26.10.2014 akiwa njiani kurejea Dar es Salaam akitokea nchini China.
.jpg)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Naibu Rais wa Kenya Mama Rachel Ruto kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata mjini Nairobi tarehe 26.10.2014. Mama Salma alisimama kwa muda uwanjani hapo akiwa njiani kurejea nchini akitokea Beijing nchini China kwenye safari ya kikazi. PICHA NA JOHN LUKUWI
Mama umerudi pekeako baba umemuacha aende mwenyewe vietnam, au wewe hukupendi vietnam
ReplyDelete