001_resized_5 (1)Juu na chini mwandishi wa makala katika safu ya Waraka kutoka Houston ndani ya gazeti la Raia Mwema, Innocent Mwesiga, Pharm.D na mke wake Carretta Mwesiga, FNP wakifurahia miaka 10 ya ndoa yao hivi karibuni katika visiwa vya Bahamas. (Kutoka blog hii tunawapa hongera sana) 002_resized_6(Picha kwa hisani ya Sunday Shomari).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mary kahabukaOctober 30, 2014

    Hongereni sana na Mungu awabariki kwa yote azidi kuwaongezea maisha marefu zaidi.Mmependeza sana. Mngepiga pamoja na watoto wenu picha moja. mwambie huyo Sunday awapige na hao watoto wetu

    ReplyDelete
  2. What a loving couple..may you all be blessed forever....Congratulation on this notable milestone.
    Mkulu

    ReplyDelete
  3. Conglatulation Mr&Mrs Innocent Mwesiga...may God bless your family.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...