Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na WanaCCM wa Jimbo hilo wakati wa Mkutano Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wao, Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati akiongea alipokuwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...