Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwafariji wanafamilia ya marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.
 Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. R.I.P MR. MBAGA
    ]

    ReplyDelete
  2. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI. NAWEZA KUPATA NUMBER YA HUYO MJANE TULIPOTEZANA MUDA MREFU AU MPE YANGU 0715 374245





    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...