
Mwili
wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL
ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya
kumuombea marehemu.
Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za
rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada
hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwafariji
wanafamilia ya marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu
umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.




R.I.P MR. MBAGA
ReplyDelete]
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI. NAWEZA KUPATA NUMBER YA HUYO MJANE TULIPOTEZANA MUDA MREFU AU MPE YANGU 0715 374245
ReplyDelete