Shirika
linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi
nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki
za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo
UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi
makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu
wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na
kusambambaza tarifa hizi kwa taasisi na watu mbalimbali.
kupiga kura hiyo bofya
http://www.humanrightstulip.nl/candidates-and-voting/under-the-same-sun
kuona namna kura zilivyopigwa bofya
http://www.humanrightstulip. nl/interim-ranking
kuona namna kura zilivyopigwa bofya
http://www.humanrightstulip.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...