Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2o14
Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (kushoto kwa Rais) na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Ibrahim Msengi (kulia) na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia kwa Rais) wakati mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario ukiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2o14
Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2o14
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario wakati wa mazishi katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2o14
Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu alipokwenda kutoa pole baada ya mazishi
Rais Kikwete akiwafariji familia wa marehemu alipokwenda kutoa pole baada ya mazishi
Rais Kikwete akiendelea kuwafariji familia wa marehemu alipokwenda kutoa pole baada ya mazishi
Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario mjini Moshi Jumamosi Oktoba 11, 2014
Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...