Mashabiki wa timu ya Sifa Politan wakishangilia timu yao kwenye uwanja wa Bandari, Tandika, jijini Dar es salaam.
Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
Kipa wa Sifa Politan akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa penalti iliyopigwa na Kudura Shaban wa Tabata FC.
Heka Heka katika lango la timu ya BOOM FC.
Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...