Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tafrija hiyo. 
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke akisoma hotuba yake.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akisoma hotuba yake. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke wakigonganisha glasi kama ishara ya kusherehekea tafrija hiyo. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke na mke wa Balozi wakikata keki maalum  kama ishara ya kusherehekea tafrija hiyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WAPINGA MUUNGANO WA TANZANIA SALAMU ZENU!

    Ninyi mkiwaza kuvunjika kwa Muungano wenzenu wenye akili nzuri na uwezo wa kufikiri Ujerumani wanafurahia na kuadhimisha Muungano!

    Am kweli binaadamu tupo sawa lakini akili hazilingani, ndio maana mnaweza kuzaliwa ktk ukoo lakini moja lazima liwe tutusa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...