Meneja wa tamasha la Karibu Music
Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa
Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan na Kulia ni Afisa Habari wa Karibu Music Festival, Said Hashim.
Meneja wa tamasha la Karibu Music
Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa
Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan
Iwe Muziki wa kweli na siyo play-back ya CDs
ReplyDelete