Mchezaji wa timu ya Ikulu Monica Kassy akiwa katika harakati za kuwania mpira katika mechi yao dhidi ya Ukaguzi leo katika uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Mchezaji wa timu ya Ikulu Monica Kassy akiwa katika harakati za kufunga goli leo katika mechi yao dhidi ya Ukaguzi.
Baadhi viongozi wa benchi la ufundi la timu ya Ikulu.
Baadhi ya wanamichezo wa timu ya Ikulu wakishudia timu yao ikiwasasambua vilivyo timu ya ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa kuwafunga magoli 48 kwa 13 leo mjini Morogoro.
Baadhi wa mashabiki wa mpira wa pete wakiburudika kwa mchezo safi uliochezwa kati ya timu ya Ikulu na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali. (Picha zote na Eleuteri Mangi –MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...