Picha ya pamoja ya washiriki wa Warsha ya kujenga uwezo kwa maafisa wa Serikali kutoka
taasisi mbalimbali. Kutoka kushoto (waliokaa) ni Bw. Styden Rwebangila kutoka Wizara ya
Nishati na Madini, Bi.Anna Shakarova ambaye ni Mkurugenzi wa Program wa Maendeleo
ya Kiuchumi, Bw. Yohane Masara –Kaimu Mkurugenzi,Divisheni ya Mikataba kutoka Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(katikati),Bw.Steven Sparling na Bi Clare Power kutoka
Kampuni ya Uwakili ya K&L Gates ambao ni wawezeshaji wa Mafunzo hayo.
Bi.Anna Shakarova ambaye ni Mkurugenzi wa program ya Maendeleo ya Kiuchumi ya
ISLP akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo wakifuatilia mada wakati wa mafunzo hayo.Kutoka kushoto ni
Bw.Mikidadi Rashidi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Bw.Juma Karibona(kati)
kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu -Zanzibar na kulia ni Bw.Patric Malogoi kutoka Ofisi ya
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tanzania.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...