utoka kushoto waliosimama ni Producer Dwayne Collins, Engineer Zaynab, Sunday Shomari na Harrison Kamau na waliokaa kutoka kushoto ni Idd Ligongo, Esther Githui Ewart, Mary Mgawe na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza.
Timu ya VOA EXPRESS iliyofungua matangazo ya kwanza ya Alasiri saa za Afrika Mashariki saa 10.30 Jumatatu hadi Ijumaa Oktoba 27,2014. Kutoka kushoto Mary Mgawe, Idd Ligongo ,Sunday Shomari, Esther Githui Ewart, Khadija Riyami, Dwayne Collins, Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza na Harrison Kamau.


Hii ni kero ya uhuru wa kusikiiza redio zetu; sio kuletewa na za kigeni!
ReplyDeleteWaamerika hawasikilizi VOA hiyo...wanasema ni GOVT, propaganda!!!!
Sasa wao wanataka kila mara ikifika saa hizo, inabidi mfunge radio zenu na kufungulia VOA!
Kwa nini VOA isipitie kati ya moja au mbili ya radio za Tanzania?