Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Hamad Rashid Mohamed akifatilia kwa makini Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU),unaofanyika mjini Geneva,Uswis.
Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Hamad Rashid Mohamed akiteta jambo na Balozi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa Geneva, Uswis, Balozi Modest Mero wakati wa Mkutano wa chama hicho mjini Geneva leo.
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa naMhe. Hamad Rashid Mohamed wakishiriki Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) Mjini Geneva, Uswis.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...