Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akiwahutubia waumini wakanisa katoliki Yombo Vituka wakati washerehe ya Kumkumbuka Bikira Maria iliyo andaliwa na umoja wa wanawake wakatoliki WAWATA Dekania ya Ukonga,Mama Pinda alitumia nafasi hiyo kuwaomba waTanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo kwani kuna nchi nyingine zinamatatizo hata hawawezi kupata nafasi ya kuhudhuria ibada kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mama Tunu Pinda akinunua sanamu ya mfano wa Bikira Maria ambayo ilikwa inauzwa katika viwanja vya Kanisa katoliki Yombo Vituka Dekania ya Ukonga wakati wa sherehe za kumbuka Bikira Maria.

Picha ya pamoja na baadhi ya Waumini wa Kanisa hilo.
Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mtoto kwenye sherehe za kumkumbuka Bikira Maria,mtoto huyo jina lake halikuweza kufahamika mara moja.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...