Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam (katikati) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 35 kwa Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck (kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo jijini Dar.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shirikisho la Riadhaa Tanzania (RT), Tullo Chambo.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa kutanganza udhamini wa mbio fupi (half marathon) katika Mbio za Uhuru Marathon zinazotarajia kufanyika Desemba 7,2014 jijini Dar es Salaam.Grand Malt imetoa kiasi cha Milioni 35 ili kufanikisha mbio hizo.
Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati akitoa shukrani zake kwa Kampuni ya TBL kupitia kinywaji chake cha Grand Malt kwa udhami huo walioutao katika mbio hizo.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam na Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shirikisho la Riadhaa Tanzania (RT), Tullo Chambo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...