Katibu wa Shirika la YES Tanzania Lusajo Mwamakura akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya mara baada ya kuanza kutolewa elimu kwa vijana hao ambao wengi wao wanatoka katikati ya mji wa Moshi.
Mwenyekiti wa Shirika la YES Tanzania,Laurance Mwonyony akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya hawapo pichani.(kulia) kwake ni mweka hazina wa shirika hilo John Mmbando.
Baadhi ya vijana walioathirika na dawa za kulevya wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na walimu,(hawapo pichani).

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...