Gari aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za usajli T 141 AHS likiwa katika mtaro wa katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi,Maeneo ya Namanga mara baada ya kugongana kwa ubavuni na Gari nyingine aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo wasi waliokuwa nao Madereva wa magari hayo,hali iliyopelekea hiyo Vits kuigonga kwa hiyo Rav4 na zote kutoteza mwelekeo na kwenda kuingia mitaroni.Madereva wa Magari yote walitoka salama salimi.
 Gari aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP na lenyewe likiwa mtaroni upande wa ng'ambo ya barabara baada ya kuigokwa hiyo Rav4.
 Wazee wa Break Down wakiskilizis.
"Yaani imekuwa kama sinema vile"
 Askari wa Usalama Barabarani akizungu na watu waliokuwa wakiendesha magari hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii mitaro ni mitego ya panya,yatauwa watu. Kwa nini hawaweki mifuniko na steel barriers kando kando ya barabara?

    ReplyDelete
  2. Aliyewafanya waifuate mitaro ni nani? si uendeshaji wao wa mashindano kama wako kwenye mashindano ya magari ndio uliowapelekea kuingia mitaroni. Wangeendesha kwa ustaarabu tungekuwa tunashuhudia sinema zao mitaroni? majivuno na kutaka kuonekana Tanzania ili tujue kuwa una gari aina hii. Ni kifo tu mumshukuru Mungu sana kwa kupona.

    ReplyDelete
  3. This accident was caused because the Vitz driver lost the control

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...