Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Zetes ya Ubelgiji Bwana Stephan Van Hoof (kulia). Kushoto ni Bwana Ronny Depoortere Makamu wa Rais wa kampuni hiyo. Viongozi hao wamemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels kumweleza nia ya kampuni hiyo kuwekeza Tanzania.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA ZETES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
huyu Kamala hana msaada wowote kwa watanzania wake mradi yupo jina tuu kazi yake kwenda Bar ya lapwete tuu.mdau wa Belgium
ReplyDeleteHivi huyu ndio balozi pekee anafanya update kwa michuzi au na wengine pia
ReplyDelete