Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Zetes ya Ubelgiji Bwana Stephan Van Hoof (kulia). Kushoto ni Bwana Ronny Depoortere Makamu wa Rais wa kampuni hiyo. Viongozi hao wamemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels kumweleza nia ya kampuni hiyo kuwekeza Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu Kamala hana msaada wowote kwa watanzania wake mradi yupo jina tuu kazi yake kwenda Bar ya lapwete tuu.mdau wa Belgium

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu ndio balozi pekee anafanya update kwa michuzi au na wengine pia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...