4 Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea  kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa kuzikutanisha timu za Burudani Fc ya Temeke mikoroshini dhidi ya Kiluvya Utd kutoka mkoani Pwani
Mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana baada ya dakika 90 ikabidi changamoto ya mikwaju ya penati itumike kumpata mshindi na timu ya Burudani ikafanikiwa kupata mikwaju minne dhidi ya miwili ya kiluvya,golikipa Abraham Abdallah wa Burudani alipangua penati moja ya kiluvya. 10 KIKOSI CHA BURUDANI FC 11 KIKOSI CHA KILUVYA UTD......... Capture SEHEMU YA MASHABIKI WAKITAZAMA MPAMBANO MKALI KATI YA BURUDANI NA KILUVYA UNITED. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...