Bwana
Tariq na Mkewe Bi. Vumi Yassin wakiwa katika nyuso za furaha mara baada
ya kumeremeta kwao hivi karibuni huko jijini Mbeya.
Bi.
Harusi,Vumi Yassin akiwa na dada yake kipenzi Bi. Amina Yassin wakati
wa sherehe ya ndoa iliyofanyika hivi karibuni,Jijini Mbeya.
Vijana wa Madrasa wakisoma kaswida na kupiga dufu wakati wa sherehe hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...