Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. TWILA KAMBANGWANovember 13, 2014

    Noma sio mali wala nini

    ReplyDelete
  2. kama tunataka kuwa nchi ya kwanza kutengeneza makapu duniani.na kuwa nchi ya kwanza kurudi nyuma baada ta kuendelea mbele.na kushika bendera ya makapu tutakuchagua uwe kiongozi wetu utuwakilishe kwa mavazi.

    ReplyDelete
  3. Love it!!! Innovation comes in every which way...but it's still innovation.

    ReplyDelete
  4. Mh!! haya tutakuwa kama robots ule ufanisi wa vitendea kazi vya mitambo ya mwili hautafanyika kwa kasi itakiwayo....

    ReplyDelete
  5. Mbona imetulia

    ReplyDelete
  6. hilo ni vazi la vichekesho tu!!

    ReplyDelete
  7. Mababu zetu walikuwa wanatengeneza nguo za magome ya miti.Wakaja wazungu wakatuletea nguo za vitambaa,tukapotoka fikra zetu za kuwa na ubunifu ndani ya mazingira yetu.Fikiria ubunifu wa hali hii ungeendelezwa tungekuwa na maeneleo yatokanayo na rasilimali zetu wenyewe katika mazingira yetu.

    ReplyDelete
  8. Huyu baba ni mbunifu, japo siwezi kusema ni suluhisho kwa wale wasiokuwa na mavazi.

    ReplyDelete
  9. Tena hii inapendeza sana hasa ukivaa bila chupi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...