Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa Membe hiyo EIA siyo ya America bali ni ya UK. Mbona hujaeleza miaka mitatu iliyopita tulikuwa na tembo 142,000 na sasa tunao tembo 55,000 wameenda wapi hao wengine? Membe unabisha kuwa maofisa wa ubalozi wa China hawahusiki na meno ya Tembo? Mbona kila mtu anajua kuwa balozi za nchi za Asia siyo China tu zinahusika na meno ya tembo. Tuwe wakweli mheshimiwa Membe kukana tu kwamba hakuna kitu kama hicho ni kutowajibika.....Ndiyo kwani kuuliza watu mitaani hakuwezi kukupa habari? Haya mambo ya magendo ya meno huwezi kupata kwenye ofisi za serikali ila mtaani watu ndiyo wanaelewa zaidi. Binafsi nilishaelezwa miaka 15 iliyopita kuwa ukifikisha meno ya tembo kwenye hizi balozi umepata pesa zako. NI VIZURI MEMBE ANGESEMA TUNAFANYA UCHUNGUZI.....JE IKIGUNDULIKA KUWA NI KWELI BAADHI YA MAOFISA WALIHUSIKA (KWA SABABU WAO SIYO MIUNGU NI BINADAMU)MEMBE ATAJIUZULU?

    ReplyDelete
  2. Mhe. Membe hajakanusha kwamba biashara hiyo haipo na wala hakupashwa kuanza kueleza takwimu za tulikuwa na tembo wangapi naleo wako wangapi kwa sababu hilo linajulikana na liko wazi. kama hiyo taasisi inauchungu kweli na tembo si wangesema hayo yote muda mfupi baada ya Rais wa China kuondoka, watuachie bongo yetu,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...