Msanii wa muziki wa kizazi kipya afahamikae kwa jina la Zax 4 Real,
Anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya jijini
mbeya, Amefanya vizuri pia katika show yake ya Usiku Wa Zax 4 Real,
iliyo dhaminiwa na vituo vya redio vya Mbeya Fm, Bomba Fm,Rock Fm,G.Fm,Highlands Fm,Sweet
Fm,Boys 2 Men Fasheni,Southside Music,Cigger Foundation na Michuzi
Media Group. Katika ukumbi wa Nebana pub Soweto jijini Mbeya.Picha na Mr. Pengo wa Globu ya Jamii,Mbeya.
Msanii Zax 4 Real akiwapagawisha mashabiki wake.
mwana dada Silvia Green Kutoka jijini mbeya,akikamua
katika stage ya Usiku wa zax 4 Real.
kijana anae kimbiza katika muziki wa kizazi kipya Davy
Star akifanya makamuzi katika show hiyo.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...