Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mtaa wa Mkwepu street? Jamani tuendeleze lugha yetu na kuitumia kwa makini. Mimi ninavyojua Kiswahili cha street ni mtaa."Mtaa wa Mkwepu".

    ReplyDelete
  2. We mdau wa hapo juu inaonesha ni mgeni katika hii blog yetu, vumilia utafunzwa lugha ya humu ndani!

    Halafu hili shimo linaonesha "love", au kuna mtu kalichonga kivile?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...