Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Aliyevaa tai) akiwapa maelezo  wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo sehemu inapojengwa gati mpya (halionekani) katika Bandari ya Kiwira.
 Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania.
 Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania.
Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Aliyevaa tai) akiwaambia jambo  wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo sehemu inapojengwa gati mpya (halionekani) katika Bandari ya Kiwira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. SAWA GATI NA UPANUZI WA BANDARI MBONA HAMTUAMBII MTALIKA KISHA SEMA HAKUNA MAZUNGUMZO NA TANZANIA HAINA HATA INCHI MOJA YA MAJI KWENYE ZIWA NYASA,TUNATAKA TAARIFA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...