Mchezaji
mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake
timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere.
Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere.
Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque
(katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
Mchezaji
mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque (kushoto)
akiwasalimia mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na
mchezaji mwenzake Andrey Coutinho
(katikati).
Maximo akiwasili.
Utamaduni huu mpya wa makocha wa kigeni kuja na ndugu zao hauwezi saidi a soka letu, tutegemee "majaja"wengi tu kufurika,kuuziwa mbuzi kwenye gunia
ReplyDeleteMaxdeal hiyo!Poleni wanayanga.
ReplyDeleteEscrow nyingine ndani ya Yanga. Hivi kweli toka Bk hadi Mtwara, Kigoma hadi Dar, Tanga hadi Songea, tumekos wachezaji hadi tuletewe hakina Jaja. Kwizera, Kiongera,Jama Mba nk? Ndo matokeo ya kufikiri kila kitu lazima kitoke nje, tumeua viwanda vyote tunavaa mitumba hadi nguo za ndani, rasilimali zinaporwa kila siku tuko angani kuomba misaada, sasa mpaka wachezaji hata ambao hatujawsi kuwaona wakivheza chandimu, kocha lazima atoke nje hats kams Boniface, Mwambusi, Kibadeni anaweza? Hivi kocha gani wa nje an mafanikio zaidi ya Benders, Kibadeni, hakuna. Tubadirike la tutaendelea kuibiwa.
ReplyDelete