Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi. Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.
Home
Unlabelled
MDAU MISANYA BINGI ALAMBA NONDOZZZZ YA PHD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera sana Shem yake mie....
ReplyDeleteWelcome to the club. You have all along been a true inspiration to many, especially the people in the Tz media. God bless you.
ReplyDeleteGreat job, Dr. Bingi, keep it up!
ReplyDeleteHongera tena na tena na karibu sana "klabuni" kaka
ReplyDelete