Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin anakwambia Old is gold Taarab ni Leo jumapili Na jumapili zote at Safari Carnival Kawe Darajani Dar es salaam kuanzia saa 2 usiku kwa kiingilio cha 5,000 shs Tu
Njoo ukutane Na nyimbo tamu Kama
Kasha
Mapenzi yako matamu
Kanilemaza
Nimesalitika
Hakika nnakupenda
Umetoka kwangu kwa unrisi
Umbo langu dawa
Na nyinginezo...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...