Hii picha imekuwa ikisambaa sana kwenye mitandao ninaomba kama kuna mtu anafahamu uwezekano wa kupatikana kwa watoto hawa kwenye hii picha. Msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwa
Asante sana!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hao watoto watoro balaa, hapo walikuwa wanatoka vichakani

    ReplyDelete
  2. Toka kushoto: Professor wa Microbiology university of London school of Tropival medicine & Hygiene, Afisa wa jeshi na wa kulia ni mwalimu mkuu shule ya msingi chidya. Majina kapuni

    ReplyDelete
  3. Du walahi tena viatu vyao tu! Yaani hayo ni maendeleo ya Tanzania!Wakati sis tulienda peku sasa wenzetu wamejipatia mtumba safi tu bila kujali kama kiatu kilikuwa cha Lady Gaga au La!

    ReplyDelete
  4. Hawa watoto wanawakilisha watoto wengi wa Kitanzania wanaokwenda shule wakiwakatika hili. Mdau unaetaka kutoa msaada sio lazima uwapate watoto hawa nenda shule za msingi za serikali watoto kama hawa wako wengi. Toa msaada wako hapo. Utakuwa umesaidia sana. Waweza nunua mabegi ya shule, viatu, masweta, shati, suruali na kaptula.

    Asante

    ReplyDelete
  5. hao sio kwamba wanahitaji msaada. hao ni wasanii hapo shuleni kwao. na walivaa hivyo ili kuchekesha.... ni mtazamo wangu tu.

    ReplyDelete
  6. hizi ni uniform za wanafunzi wa tanzania at least hilo linajulikana,uoto wa asili hapo ni kama savanah nafikiria Tabora,Shinyanga, khasante sana msamalia mwenye uwezo wa kuwapata atusaidie....

    ReplyDelete
  7. please readers, someone might be serious with this.. don't joke

    ReplyDelete
  8. Lol, cheka unenepe, hata visivyo vya kuchekesha muda mwengine vinachekesha angalau inatia huruma, hii ndio Africa yetu na ndio Tanzania yetu na hawa ndio watoto wa Bara hili na ndio wasomi hao, na hayo ndio mavazi yao na viatu vyao, manake hapo ni hafadhali kuliko kwenda bila viatu umbali mrevu na vichakani usigonwe na nyoka bora
    watinge angalau hiyo midundo, sasa mtu kama huyu akikuwa akapata uongozi, tunapata picha gani kwanza hmmm

    ReplyDelete
  9. Kwa nini wanavaa buti za baridi wakati kwetu hapa hatuzihitaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...