Yatima
Yatima
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Taratiiiiibu.....dah kweli siku hazigandi, tumebaki na makelele tu....
ReplyDeleteMasha Allah! Ila hii naona siyo ile original version. I think hii imeimbwa kikomoro japo muziki na maneno ni yale yale tofauti ni lugha tu. Still raha mustarehe kuskiliza na ujumbe ni maridhawa kabisa, unakugusa na kukuingiwa khasa!
ReplyDeleteSi sawa na haya makele yenye matusi ndani yake.....wala si uongo ulivyonena mdau wa mwanzo hapo juu. Taarabu enzi hizo sio leo.