Home
Unlabelled
shindano la ubunifu wa jezi ya Taifa Stars
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tunataka kuona jezi kamili sio shati tu peke yake , jezi maana yake kaptura au kama mnavyoita bukta na shati ili tuamue. napendekeza shati la njano na kaptura nyeusi. ama shati la bluu na kaptura nyeusi.
ReplyDeleteNadhani jezi iwe nyeusi mgongoni, kifuani blue na kijani halafu bukta nyeusi michilizi njano
ReplyDeleteTunachohitaji Watanzania ni timu bora, jezi si muhimu sana wakati huu kama tutaendelea kuwa wasindikizaji..
ReplyDeleteHiyo jezi ya ju mbona "Yanga" sana...Mimi siikubali mwanangu...
ReplyDeleteHamna ubunifu hapo
ReplyDeleteAoneshe pande zote, mbele na nyuma ili tuone kama jezi hiyo ina vigezo vya kuitwa vya timu ya taifa.
ReplyDeleteTusiangalie Usimba na Uyanga jezi inayotakiwa zichukuliwe rangi mbili kutoka bendera ya Taifa ambazo zinangaa,sio jezi nyeusi au blue hazifai kutokana na kuwa na giza kwenye TV hasa kutokana rangi yetu wavaaji kwa hiyo ingekuwa vizuri juu njano mkono mmoja kijani na
ReplyDeletemwingine bluu huku namba na majina kwa rangi nyeusi na bukta nyeusi,sokdi bluu.
dogo jitahidi usikate tamaa ni kazi nzuri tusikatishe watu tamaa, aliyasema kaptura ni kweli sio Bukta ni Kaptura Bukta ni kampuni.
ReplyDelete