Mkurugenzi
wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare akizungumza na wanafunzi wa Shule
za St Mary's International za Dar es Salaam wakati akizundua tamasha la
kuonyesha vipaji vya wanafunzi wa Shule za St Mary's International za Dar es
Salaam lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa.PICHA
NA PHILEMON SOLOMON
Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare (kushoto),
akikabidhiwa baadhi ya Peni na Meneja Masoko wa Kampuni ya SILAFRICA, Salman
Pathan kama mchango wake kwaajiliya shule za St Mary's International.
Wanafunzi kutoka shule za St Mary's International za Dar es Salaam wakitoa burudani wakati wa tamasha la kuonyesha vipaji.
Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare (wakwanza kulia),
akiwa na Walimu wa shule hizo wakifuatilia burudani wakati wa tamasha hilo.
Wanafunzi
kutoka shule za St Mary's International za Dar es Salaam wakiwa kwenye tamasha
hilo.
Kuwekeza katika hizi shule ilikuwa ni jambo la maana sana jamaa zangu wengi wamenufaika na elimu ya msingi. Nikiwaangalia wakiwa wamekuwa sasa nawapongeza walimu wa St Mary's na walimu wenngine nchini mnao fundisha watoto wakitanzania kwa weledi mmefanya kazi.
ReplyDelete