Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (katikati
walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa
wawezeshaji ngazi ya taifa kuhusu tukio la utambuzi wa kaya maskini
linalotarajiwa kuanza Novemba 10 katika halmashauri 16. Wengine (walioketi) ni
Mkurugenzi wa fedha wa TASAF Bw. Isaya Wambura (wa pili kushoto), meneja
masijala ya walengwa Philipine Mmari (wa kwanza kushoto), Mtaalamu wa Mafunzo
Mercy Mandawa (wa pili kulia) na Meneja Rasilimali watu Tecla Makundi.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (katikati
walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiri wa mafunzo kwa
wawezeshaji ngazi ya taifa kuhusu tukio la utambuzi wa kaya maskini.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (aliyesimama) akitoa neno la ufunguzi wa warsha ya mafunzo kwa wawezeshaji ngazi ya taifa (hawapo pichani) kuhusu tukio la utambuzi wa kaya maskini linalotarajiwa kuanza Novemba 10 katika halmashauri 16 nchini . Aliyekaa kushoto ni Mkurugenzi wa fedha wa TASAF Bw. Isaya Wambura.
Afisa Ufuatiliaji na tathmini wa TASAF Bw. Paul Luchemba akitoa
mada juu ya malengo ya warsha ya mafunzo
kwa wawezeshaji ngazi ya taifa kuhusu tukio la utambuzi wa kaya maskini katika
ukumbi wa AMECEA Kurasini Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kwa wawezeshaji ngazi ya taifa kuhusu tukio la utambuzi wa
kaya maskini unaotekelezwa na TASAF kupitia Mpango wa kunusuru kaya
maskini PSSN wakifuatilia mjadala baada
ya uwasilishaji wa madajuu ya mwongozo wa mpango katika ukumbi wa TEC-Kurasini
jijini DSM.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...