Katibu mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akiwa
kwenye kipindi cha maswali na majibu toka kwa Vivek Muthu pembeni yake
na maswali mengine toka kwa wadau waliohudhuria kwenye mkutano wa Afya
wa Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya wadau akiuliza swali kwa Katibu mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando.
Wadau toka nchi mbalimbali duniani wakifuatilia kwa karibu yanayoendelea mkutanoni.
Mkutano ukiendelea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...