Bismillah Rahman Rahim. 
Umoja wa misikiti ya Ilala unawaomba/unawaalika kushiriki katika Dua maalum ya kumuombea Mh. Rais Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete,ili aweze kupona maradhi yake, siku ya Alhamis tarehe 20/11/2014 saa mbili usiku ( baada ya swalatul isha'a). 

Dua itafanyika masjid TAQWA Ilala-Bungoni. Nyote mnakaribishwa. 
Imetolewa na Sheikh Abdul Wakati- Mwenyekiti wa umoja wa misikiti ILALA.
Rais Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo,wakati akiwa kwenye matibabu,nchini Marekani. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mr. Michuzi, please pass the link below on to our dear President....I don't think he knows that this is what some people are planning to do. may his recovery speed up even more so that he can reassure us that this will never ever ever happen! Mungu Ibariki Tanzania, Mwenyezi Mungu amweke Marehemu Mwalimu Nyerere mahali pema peponi. Amin.
    http://www.washingtonpost.com/blogs/worldviews/wp/2014/11/17/tanzania-wants-to-sell-370000-acres-of-its-land-so-wealthy-gulf-elites-can-hunt/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...