Bismillah Rahman Rahim.
Umoja wa misikiti ya Ilala unawaomba/unawaalika kushiriki katika Dua maalum ya kumuombea Mh. Rais Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete,ili aweze kupona maradhi yake, siku ya Alhamis tarehe 20/11/2014 saa mbili usiku ( baada ya swalatul isha'a).
Dua itafanyika masjid TAQWA Ilala-Bungoni. Nyote mnakaribishwa.
Imetolewa na Sheikh Abdul Wakati- Mwenyekiti wa umoja wa misikiti ILALA.
Rais Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo,wakati akiwa kwenye matibabu,nchini Marekani.
Mr. Michuzi, please pass the link below on to our dear President....I don't think he knows that this is what some people are planning to do. may his recovery speed up even more so that he can reassure us that this will never ever ever happen! Mungu Ibariki Tanzania, Mwenyezi Mungu amweke Marehemu Mwalimu Nyerere mahali pema peponi. Amin.
ReplyDeletehttp://www.washingtonpost.com/blogs/worldviews/wp/2014/11/17/tanzania-wants-to-sell-370000-acres-of-its-land-so-wealthy-gulf-elites-can-hunt/