Tarehe 18 Novemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya idadi ya watu. Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani na huku takwimu hizo zikitumiwa kupanga mikakati ya ustawi wa watu duniani kote. Maudhui ya siku hiyo mwaka huu ni ustawi wa vijana kundi ambalo ni nguvu kazi katika jamii.
Shirika la idadi ya watu duniani UNFPA ndilo linaloratibu kazi hiyo ambapo nchini Tanzania shirika hilo hilo linatarajia kuitumia siku hiyo kuwanufaisha vijana. Katika mahojiano na afisa mawasiliano wa UNFPA Tanzania Sawiche Wamunza, afisa wa idadi ya watu na maendeleo
Samweli Msokwa anaanza kwa kueleza kauli mbiu ya siku hiyo.
(SAUTI MAHOJIANO)
Kusikiliza bofya hapa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...