Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MuM),Hajjat Mwantum Malale akiongoza mahafali ya saba ya Chuo Kikuu hicho cha Waislam yaliyofanyika jana Novemba 8,2014 katika viwanja vya Chuo hicho.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Baraza la Shule Chuo hicho,Prof. Mussa Assad.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MuM),Prof. Hamza Mustafa Njozi (wa pili kulia) akisoma hotuba yake na baadae kuwakaribisha wakuu wa vitivo kuja kuwaorodhesha wahitimu wao wanaostakihi kutunukiwa Shahada mbali mbali.
Sehemu ya Wahitibu wa Shahada mbali mbali wakiwa katika Mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro.
Bi. Farida Khalfan akiwa akiwa katika pozz la picha mada baada ya kulamba Nondozz yake ya Sanaa na Ualimu (Bachelor of Arts with Education) katika Mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro.
Furaha ya kulamba Nondozz.
Mdau Jaffar Haniu wa TBC akiwa ni mwenye furaha sana baada ya kulambo Nondozz yake ya Sanaa na Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) katika Mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro.
Mdau Jaffar Haniu wa TBC (katikati) akiwa na wahitimu wenzake.
Uko nyumbani ule msema wa elimu haina mwisho unatumika ipasavyo....Bachelor wazee, Masters wazee, Phd babu.....si mchezo ....
ReplyDelete