Meneja Msaidizi wa Benki ya Azania Joseph Msase akikabidhi fomu ya Akaunti ya Dhamira kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo Benjamini Mengi. |
Mtoa huduma kwa wateja katika Benki ya Azania tawi la Moshi ,Happy Msengi akimshawishi Mama Mengi kufungua akaunti ya Dhamira iliyoanzishwa katika Benki hiyo. |
Meneja Msaidizi Benki ya Azania Joseph Msese(katikati) akiwa na mtoa huduma kwa wateja Happy Msese wakijaribu kumshawishi kijana Benson Benjamini kufungua akaunti ya Dhamira. |
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe(kushoto) akiendelea kushawishi wateja wapya kujiunga na Akaunti ya Dhamira iliyoanzishwa katika benki hiyo. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...