Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa
Sherehe za Siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Kunduchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kulia mstari wa nyuma) na Mkurugenzi wa Idara
ya Rasilimali Watu wa benki hiyo, Dorah Ngaliga wakiwa katika picha ya pamoja na
watoto waliohudhuria tamasha la ‘Family Day’ lililowashirikisha wafanyakazi wa
benki hiyo pamoja na familia zao. Tamasha hilo lilifanyika Kunduchi Wet 'N' Wild Dar es Salaam.
Vikombe vya washindi walioshinda katika michezo mbalimbali.
Dk. Kimei akifurahia nishani aliyotunzwa kwa kuwajali wafanyakazi kupitia Family Day.
Washindi wa kwanza katika mchezo wa Soka wakiwa katika picha ya pamoja na Dk. Kimei.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...